.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 12 Februari 2016

WAWANIA URAIS WA DEMOCRATIC HILLARY CLINTON NA BERNIE SANDERS WAMECHUANA

Wawania urais wa Democratic Hillary Clinton na Bernie Sanders wamechuana kuhusiana na kumuunga mkono rais Barack Obama katika mdahalo wao wa kwanza tangu kura za maoni za New Hampshire.

Bi. Clinton aliamua kujitanabaisha kama mtetezi wa utawala wa rais Barack Obama, alimshambulia vikali Bw. Sanders kwa kumkosoa rais.

Bi. Clinton alisema aina ya ukosoaji anayosikia kwa Bw. Sanders ilitarajiwa kufanywa na wapinzania wao wa chama cha Republicans.

Majimbo ya Nevada na South Carolina, yenye idadi ndogo ya watu yatafuatia katika kura za maoni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni